1. Kuchunguza matendo yetu ya kisheria na hali ya sasa ya kiuchumi wa chapa za mitindo na mwenendo wa mitindo.
 2. Kuanzisha njia ya kuendeleza mitindo na viwanda vya nguo vya Tanzania.
 3. Kupata na kuendeleza mafanikio ya sekta ya mitindo nchini.
 4. Kukuza ufanisi wa bidhaa zinazotengenezwa Tanzania.
 5. Kuwaonyesha wanamitindo bora wa Tanzania katika hadhira ya kimataifa
 6. Kuitangaza Tanzania kama sehemu ya utalii wa kitamaduni.
 7. Kuwasaidia biashara za wadau wa mitindo katika ngazi mbalimbali kupitia mipango madhubuti.
 8. Kuitangaza na kulinda tamaduni zetu za Kiswahili.
 9. Kusaidia katika kuwezesha watalii wa kibiashara wa mitindo wasio watanzania na wengine kuhusika katika matukio ya mitindo ya Tanzania.
 10. Kulinda uendeshaji wa lebo zote za mitindo kwaajili ya mapato bora.
 11. Kutoa msaada kwa wataalamu wa mitindo kwa elimu, jumuiya na uzoefu wa ubunifu unaohitajika ili kufanikiwa katika kazi ya mitindo.
 12. Kuchangia katika malengo ya maendeleo ya milenia 1,3&8

Lengo 1: Kuondokana na umaskini na njaa iliokithiri

Lengo 3: Kukuza usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake

Lengo 8: Kuendeleza ushirikiano wa kimataifa kwa maendeleo